
Pichani ni Mkuu Mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. William Lukuvi ambaye amechukua nafasi ya Mh.Abbas Kandoro ambaye amehamishiwa jijini Mwanza.zamani tulizoea kuliita jiji hili la Dar,jiji na Kandoro hivyo sasa hivi na huyu nae atafanibadili jina jiji hili na kufanya kuitwa jiji na nanihii.
No comments:
Post a Comment