jamaa anaefanya shughuli za kimachinga akiwa kabambwa na askari wa jiji a.k.a Mgambo wa site,alipokatikaza katika himaya yao kwa dhumuni la kuendeleza libeneke la kujitafutia rizki.sasa sijui wanazipeleka wapi hizo nguo?
No comments:
Post a Comment