Kunradhi wanaMtaa Kwa Mtaa,kwa kupotea kwangu kwa muda mrefu kwani kijiji hiki kilikuwa katika matengenezo makubwa sana kama muonavyo wenyewe ambapo mkuu MK alikuwa akikiboresha zaidi na zaidi,shukrani nyingi sana zimuendee mkuu MK kwa kukifanyia kijiji hiki mambo mazuri kama haya.na mimi nawahakikishia wadau wangu woote kutegemea mambo mazuri na mengi zaidi na zaidi.Pamojah We Can kama isomekavyo katika hiyo t-shirt niliyotinga hapo.
-Michuzi Mtoto
No comments:
Post a Comment