Leo nilipata wasaha mwingine wa kukutana na washkaji wa kijiji cha jirani kinachokwenda kwa jina hili bofya hapa,nilipogongana nao pale maeneo ya kijitonyama katika kiota cha Chaga Bite,Toka (shoto) ni Charles,Mariam pamoja na Broo Young (jina lake la kwanza limenitoka sasa hivi,ngojeni nikumbuke halafu nitawatajia) na mwisho kabisa ni nanihii wa nanihii ya nanihii.
Sunday, March 29, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment