
hili ni moja ya magali ya kujifunzia udereva kwa daraja la leseni aina C,ambapo mafunzo yapatikanayo ndani ya ndinga hii ni pamoja na kuweza kuendesha magari yabebayo abiria na mengine.sasa swali langu ni kwa madereva waliowengi wanaoendesha magari yabebayo abiria,je madereva hao ni kweli wamepitia huku???
No comments:
Post a Comment