Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya simu ya Vodacom,Efraim Mafuru akiongea kwa kusisitiza huku akipigiwa makofi na Mratibu wa Mkuu Wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga wakati alipokuwa akielezea nia ya kampuni yake kudhamini mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili na kuyaboresha zaidi mashindano hayo ili yaendane na viwango vya kimataifa na kupata wawakilishi watakaoletea sifa Tanzania.hafla hii ilifanyika jana usiku katika hotel ya Regency Park.kwa picha zaidi tembelea kiwanja cha kujidai cha blaza John Bukuku a.k.a Mzee wa Full Shangwe kwa kunyeza hapa
Thursday, March 19, 2009
Vodacom Kuendelea Kuipiga Jeki Miss Tanzania,Yasaini Tena Mkataba Wa Miaka Miwili
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya simu ya Vodacom,Efraim Mafuru akiongea kwa kusisitiza huku akipigiwa makofi na Mratibu wa Mkuu Wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga wakati alipokuwa akielezea nia ya kampuni yake kudhamini mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili na kuyaboresha zaidi mashindano hayo ili yaendane na viwango vya kimataifa na kupata wawakilishi watakaoletea sifa Tanzania.hafla hii ilifanyika jana usiku katika hotel ya Regency Park.kwa picha zaidi tembelea kiwanja cha kujidai cha blaza John Bukuku a.k.a Mzee wa Full Shangwe kwa kunyeza hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment