HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 6, 2008

Kijiji Kimehamia Mtaa Wa Pili

KUTOKANA NA MUENDELEZO WA LIBENEKE LA KUPASHANA HABARI KWA NJIA HII YA KUBLOG, NAOMBA KUCHUKUA NAFASI HII KUWATAALIFU KUWA BLOG YETU HII YA othmanmichuzijr.blogspot.com SASA HIVI INAPATIKANA KWA ANUANI MPYA AMBAYO INAKWENDA KWA JINA LA michuzijr2.wordpress.com AMBAYO IMEBEBWA NA JINA LA MTAA KWA MTAA,AMBAPO MAMBO YOTE YALIYOPO HUMU KIJIJINI YATAKUWA YANAENDELEA KAMA KAWAIDA KATIKA WANJA HILO JIPWA.
PIA NITAENDELEZA LIBENEKE LA SALAMU KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI AU KAMA UNATAKA KUNUNUA KITU AU KUUZA KITU PAMOJA NA MISAADA KWENYE MATUTA, MSISITE KUNITUMIA KUPITIA EMAIL YANGU YA jamiothman@gmail.com.
NAWASHUKURU WADAU WOTE KWA MICHANGO YENU KUBWA LIKIWA NI PAMOJA NA KUTEMBELEA BLOG HII KILA SIKU. NAAHIDI KUENDELEA KUWALETEA PICHA NA HABARI ZA JAMII KAMA KAWAIDA HUKU NIKIHESHIMU NA KUTHAMINI MCHANGO WA KILA MMOJA.
NAKARIBISHA MAONI NA USHAURI ILI KUFANIKISHA AWAMU HII IJAYO...

NAOMBA KUWASILISHA

OTHMAN MICHUZI

2 comments:

  1. I recently came across your blog and have been reading along. I thought I would leave my first comment. I don't know what to say except that I have enjoyed reading. Nice blog. I will keep visiting this blog very often.

    ReplyDelete
  2. Habari gani rafiki yangu ??
    Blog mzuri sana.
    Ningekuwa Dar es Salaam wezi watatu.

    salamu:)

    ReplyDelete

Post Bottom Ad