HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 17, 2008

Hicho Kibao Kinamaana Gani?

jamani naombeni msaada wenu wa kunijuza hili,hivi hicho kibao hapo pembeni ya hiyo (sijui niite pikipiki sijui niite gari,lakini ngoja niite gari tu maana ina matairi 4)kinamaana gani???

1 comment:

  1. weka hii link, huyu mama ni mtangazaji maarufu sana usa,anaripoti toka kilapembe leo yupo tz,
    http://today.msnbc.msn.com/id/26184891/vp/27765117#27765117

    ReplyDelete

Post Bottom Ad