HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 3, 2008

Tigo Extreme Party Yawavutia Wengi

DJ Bush Baby wa kituo cha redio cha East AfricaRadio natelevision ya EATV,akifanya vitu nyake katika mpambano huo mwishonimwa wiki.
Msanii wa bongo flava, Rutta Bushoke akipagawisha mashabiki wake katika pambano hilo la Ma DJ na wasanii wa Afrika Mashariki
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Mr Blue (katikati) na Chidi Benz(kushoto), wakitoa burudani katika pambano la Ma DJ na wasanii wa Afrika Mashariki lililojulikana kwa jina la Tigo Extreme Party kwenyeufukwe wa Bahari ya Cine Club jijini Dar mwishoni mwa wiki.
Msanii kutoka Uganda, Sanyu Cinderella 'Cindy' akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake katika pambano la Ma DJ na wasanii wa Afrika Mashariki lililojulikana kwajina la Tigo Extreme Party kwenye ufukwe wa Bahari ya Cine Club jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad