HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 9, 2008

Mambo Ya Fiesta Jirambe 2008

ilikuwa ni full kujiramba babake,yaani kila mtu inaelekea alisuuzika na roho yake.
The Havy Weight Mc a.k.a Prf Jizeeeeee akiwa ndani ya vazi la asili ya kimasai katika jukwaa la Fiesta Jirambe,yaani makammuzi yakuwa si ya kitoto na kama ulikosa kufika basi lwako.
mwanadafada Kat Deluna akifanya makamuzi ya kufa mtu pamoja na washambulia jukwaa wake,usiku wa kuamkia leo pale viwanja vya Lidaz club.
kiongozi wa kundi la Wanaume Halisi,kibra Juma Nature aliongoza vyema kundi lake katika usiku wa Fiesta Jirambe usiku wa kuamkia leo pale viwanja vya Lidaz club.
kundi zima la TMK Wanaume Family likiongozwa na Mh.Temba pamoja na Chege Chigunda a.k.a mtoto wa mama Saidi lako halikuwa nyuma katika kuwarambisha mashabiki wao pale viwanja vya Lidaz Club.
Nako 2 Nako kutoka pande za A-Town nao walifanya makamuzi kama kawaida.
mzee wa sindelela ilibidi afupishe tour yake ili aweze kujiramba na mashabiki wake wa hapa bongo ndani ya Fiesta Jirambe. 
FM Academia wazee wa ngwasuma nao hawakuwa nyuma.
Wanne Star na ngoma zake za asili kama kawa
Jamaa akifaidi kujiramba baada kuazidiwa na usingizi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad