
Miriam Makeba enzi za uhai wake.
Mwanamuziki mkongwe nchini Afrika Kusini Miriam Makeba ambaye alitamba sana na nyimbo zake kadhaa ukiwemo ule wa Malaika amefariki dunia huko Italy kwa ugonjwa wa moyo.
Mungu alaze roho ya marehemu mahali pema peponi
-AMEN
No comments:
Post a Comment