
jamani hivi ndivyo ilivyokuwa siku iliponyesha mvua jijini Dar es Salaam, ambapo katika eneo la Mtoni maji yalivunja daraja la mto kizinga na kusababisha watu wanaoishi katika maeneo Mbagala na kwingineko kusafiri kwa shida kubwa na wengi walikuwa wakibebwa na wengine kujitahidi kuogelea maji mafupi.Picha ya mdau Venance Nestory wa Mwananchi.
mmhh!!!!!!!!!!hali hii mpaka lini watu wangu????????????
ReplyDeletemmhh!!!!!!!!!!hali hii mpaka lini watu wangu????????????
ReplyDelete