HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 3, 2008

Hadha Za Mvua Bongo

jamani hivi ndivyo ilivyokuwa siku iliponyesha mvua jijini Dar es Salaam, ambapo katika eneo la Mtoni maji yalivunja daraja la mto kizinga na kusababisha watu wanaoishi katika maeneo Mbagala na kwingineko kusafiri kwa shida kubwa na wengi walikuwa wakibebwa na wengine kujitahidi kuogelea maji mafupi.Picha ya mdau Venance Nestory wa Mwananchi.

2 comments:

Post Bottom Ad