HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 26, 2008

Myama Kalazimishwa Kula Majani Leo

MPIRA KATI WEKUNDU WA MSIMBAZI SIMBA NA VIJANA WA MTAA WA TWIGA NA JANGWANI UMEMALIZIKA HIVI PUNDE TU.NA MATOKEO NI KAMA IFUATAVYO.
YANGA 1-SIMBA 0.GOLI LILILOFUNGWA NA BEN MWALALA MNAMO DAKIKA YA 15 YA MCHEZO,AMBAPO MPIRA ULIKUWA NI MKALI KUPITA KIASI NA MCHEZO ULIKUWA NI WA KUSHAMBULIANA KWA ZAMU KAMA INAVYOKUWAGA KATIKA MECHI KUBWA KAMA HIZI.USHINDI WA YANGA KWA SIMBA SIKU YA LEO UMEIHARIBIA REKODI YA TIMU YA SIMBA YA KUMFUNGA YANGA KWA MARA NYINGINE,SASA SIJUI ITAKUWAJE HUKO MBELE YA SAFARI AMBAPO MSIMU HUU TIMU YA SIMBA IMEANZA VIBAYA KUPITA KIASI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad