HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 26, 2008

Hahah Hahah Hahah!!!

watu tumeona vivuko nini madaraja?haya sasa yako wapi wana wa darajani?????
bwawa la maini ni kiboko ya wote na asikwambie mtu LIVERPOOL kuna raha mfano wake hakuna.na leo Tores hakucheza mambo yamekuwa hivi je angecheza mambo yangekuwaje?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad