nilifarijika sana siku ya jana pindi nilipokutana na mwananchi wa kijijiji hiki na pia mkazi wa kijiji cha jirani cha Fotobaraza anayefahamika kwa jina la Magere,ambaye amekuja hapa nchini kwa vekesheni fupi akitokea nchini Ujerumani anakopiga mzigo na ndipo yalipo makazi yake kwa sasa.
No comments:
Post a Comment