HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 19, 2008

Hii Imekaaje Wadau?

hivi huyu jamaa ni mzima kweli?maana hapo alipo yuko ndani ya maji halafu anafanya kitu kama hiyo,hivi inaingia akilini kweli hii?na kwa hali hii tupona kweli haya magonjwa ya mlipuko?

5 comments:

  1. THIS IS SOOOOOOOOOOOOO DISGUSTING HUYU JAMAA AFUNGWE KIDOGO AU LIPISHWE FINE.

    ReplyDelete
  2. THIS IS SOOOOOOOOOOOOO DISGUSTING HUYU JAMAA AFUNGWE KIDOGO AU LIPISHWE FINE.

    ReplyDelete
  3. heheheee huu upuuzi tumeozoea huku india sema kwenye maji??? dahh hii noma imezidi

    ReplyDelete

Post Bottom Ad