ujumbe umefika.
Prof.Ibrahim Lipumba,Mh.Mussa Azan Zungu wakiteta jambo na Ismail Aden Rage walipokuwa katika maandamano ya kupinga mauaji ya maalbino yaliyofanyika asubuhi ya leo,ambapo yaliaanzia katika viwanja vya mnazi mmoja na kuishia katika viwanja vya Karimjee.
waheshimiwa na baadhi ya watu walioguswa na swala hilo wakiwa katika maandamano hayo
Kikosi cha Jeshi la Magereza kilikuwepo katika kuongoza maandamano hayo asubuhi ya leo
Leo asubuhi jumuiya ya albino imefanya maadamano ya amani ya kupinga unyanyasaji wa maalbino na pia kuishinikiza serikali ichukue hatua madhubuti na za kudumu dhidi ya unyanyapaa pamoja na mauaji ya kikatili ya albino.maandamano hayo, ambayo yamepokelewa na Rais Jakaya Kikwete katika viwanja vya karimjee leo asubuhi, Maandamano hayo yameanzia viwanja vya mnazi mmoja
No comments:
Post a Comment