HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 27, 2008

Precision Air Yafuturisha Mawakala Wa Ndege

 Imam Haroub Hamis akiomba dua baada ya kumaliza kufturu jana jioni,katika viwanja vya karimjee.
Kutoka shoto ni meneja wa precision air Bw.Omar Othman,Sheikh Haroub Hamis ambaye ni imam wa msikiti wa Ibad Rahman Ilala Bungoni,kaka nanihiiii pamoja na ustadhi Hala wakipata ftari leo jioni viwanja vya karimjee
mie kati nikiwa na m Haroub Hamis pamoja na kaka Hala mara baada ya kumalizika kwa dua
raha ya ftari mkekani bwana,kama nionekanavyo hapo pichani
baadhi ya wageni waalikwa wakipata ftari safi kabisa iliondaliwa na shirika la ndege ya Precision air
wafanyakazi wa makampuni ya uwakala wa ndege wa jijini Dar,wakiwa katika ftari ya pamoja iliyoandaliwa na shirika la ndege la Precision Air katika viwanja vya Karemjee
Ustaadh Nourdine (mwenye miwani) wa kampuni ya Legacy Travel & Tours pamoja na wadau wengine wa shughuli hizo wakiwa katika mstari wa kujisevia ftari iliyoandalwawa na shirika la ndege la Precision Air,katika viwanja vya Karmjee jana jioni.
afisa mauzo wa Precision Air dada Stella Maeda,akisaidia kuwapakulia ftari wageni walioalikwa katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad