Tamasha hilo linalodhamiwa na kinywaji cha Kilimanjaro Premium Lager kauli mbiu yake ni FIESTA JIRAMBE,mbali ya msanii huyo pia atakuwepo Nyota Ndogo kutoka Kenya,Mangwea,Ay,Wanaume Halisi,Wanaume TMK family,Marlow,Mwasiti,Dully Sykes,Mwana FA, Chid Benz wa La familia,Prof Jay,Ray C na wengineo kibao.
Hivi ni vikolombwezo vya fiesta full kujiramba, huku ukiwa umetinga jinzi yako na fulanaz halafu lips zako zifanye zisikauke mara kwa mara kwa kujiramba,yote hiyo ukiwa ndani ya fiesta ni full kujiramba tu

No comments:
Post a Comment