
meneja masoko (corporate) wa zain constatine magavilla akiwatangaza lady jd na mkuu wa wilaya ya nanihii kuwa mabalozi wa zain leo

gadna g. habasha na mamou muhidin wakiwapongeza lady jd na mkuu wa wilaya ya nanihii kwa kuwa mabalozi wa zain. chini bosi wa masoko (consumer) wa zain kelvin twissa akila pozi na lady jd, mkuu wa wilaya ya nanihii pamoja na mamou muhidin kwenye hafla hiyo

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA ZAIN IMEWATANGAZA MKUU WA WILAYA YA NANIHII (MICHUZI) PAMOJA NA MSANII LADY JD KUWA MABALOZI WA ZAIN, KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA SASA HIVI MAKAO MAKUU YA KAMPUNI HIYO SEHEMU ZA KIJITONYAMA, MAJI MACHAFU, DAR.
No comments:
Post a Comment