
Aliongea hayo hapa nchini aliporudi likizo wa wakati wamichezo ya Olympic na kudai ye bado wamo katika omodel na bado yupo saana kwani mamodel kibao mfano Naomi na Kate Mosi wana umri mkubwa lakini bado wamo katika fani.
“Kwa sasa nasikilizia mkataba wa USA ambako nataka
nikafanye kazi ya uanamitindo huko na kukuza kipaji kabla ya kwenda Italy na Ufaransa ambako nikishakaa sawa niwe nabuni nguo zangu ambao nitaziita Shangri -La” alisema Odemba
Alielezea Shangri -La kuwa ni simply symbol ya uzuri unaodumu milele actually ni jina la mwanamke wa katika historia ambaye alikuwa mzuri sana,kwa hiyo hata nikifa hiyo brand name itakuwa ni saini itakayoniwakilisha as uzuri wangu.
Haya kila la kheri Odemba wacha tuisubiri iyo Shangri -La
Na Dar Hotwire.picha na habari toka
No comments:
Post a Comment