HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 27, 2008

Will Smith Ndani Ya Bongo


Mwigizaji na mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Willy Smith yupo nchini Tanzania,ambapo jana alitembelea mjini Bagamoyo ambako alitoa msaada wa vyandarua katika hospitali ya wilaya ya Bagamoyo,na baadae jioni alitimua na kuelekea mjini Zenj,Smith ameambatana na Mkewe Jada,Picha hii ilinaswa na kamera ya Jr-1 wa Jiachie Blog alipogongana nae hoteli ya Kemspiski hapo jana jamaa alipokuwa anajikataa zake kuelekea Zenj.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad