
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein(Kushoto)akisalimiana na mtoto Elius Chegecha( 10)anaesoma darasa la kwanza katika Shule ya msingi Kakonko Wilayani Kibondo wakati alipofika katika kijiji hicho kwa ajili ya kuangalia hifadhi ya maendeleo ya mradi wa msitu wa asili wa Muganza Wilayani Kibondo jana
No comments:
Post a Comment