
RAIS KARUME AKIZUNGUMZA NA WILL SMITH IKULU YA ZANZIBAR

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME,AKIPOKEA KITABU KINACHOZUNGUMZIA MAMBO MBALI MBALI YA MAREKANI,KUTOKA KWA MUIGIZAJI MAARUFU WILL SMITH HUKO IKULU MJINI ZANZIBAR JANA.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE DK AMANI ABEID KARUME, WAPILI KULIA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MUIGIZAJI MAARUFU NA MCHEZA SINEMA DUNIANI ,KUTOKA NCHINI MAREKANI, WILL SMITH, MAMA SHADYA KARUME KUSHOTO NA MKEWE MUIGIZAJI HUYO JADA PINKEH SMITH KUSHOTO, MARA BAADA YA MAZUNGUMZO YAO IKULU MJINI ZANZIBAR JANA
PICHA KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULU/ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment