
waziri mkuu mh. Mizengo Pinda na mai waifu wake Mama Tunu Pinda wakiongoza mduara katika hafla ya kumalizika kikao cha Bunge usiku wa jana mjini dodoma. nyuma ya Mama Tunu Pinda ni mh. Spika Samwel Sitta akifuatiwa na naibu wake Mama Anna Makinda na waziri wa nchi ofisi ya rais mh. Philip Marmo. bunge limehirishwa rasmi leo baada ya kudumu kwa takriba miezi mitatu ya bajeti na mijadala mizito.kwa picha zaidi nenda wanja la mkuu
Michuzi
No comments:
Post a Comment