
Waziri Mkuu,Mh.Mizengo Pinda(Kushoto)akifuatilia ibada ya mazishi ya Ahmad,Mtoto wa Sheikh Mkuu wa Tanzania,Mufti Shaaban Simba (kulia) yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kibasila yaliyopo Muhimbili jijini Dar es salaam leo.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment