HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 10, 2008

Matatizo Ya Kiufundi Katika Blog Ya Jamii

KUNRADHI WADAU WA michuzi-blog.com,KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI KWA HOST WETU, GLOBU YETU YA JAMII IMEPATWA NA KWIKWI KWA MUDA KIASI, ILA MAFUNDI WAMENIHAKIKISHIA KWAMBA WANASHUGHULIKIA TATIZO NA LIBENEKE LITAENDELEA KAMA KAWA MUDA SI MREFU UJAO.SAMAHANI KWA USUMBUFU KWANI KILA UNAPOGONGA michuzi-blog.com UNAKUTA HOLA.

- MICHUZI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad