HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 4, 2008

KEPTENI MAZULA ATAZIKWA JUMATANO


MAZISHI YA ALIYEKUWA RUBANI MKUU WA ATC KEPTENI GEORGE MAZULA YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA JUMATANO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI, DAR.
KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA FAMILIA, SHUGHULI ZITAANZAIA NYUMBANI KWA MAREHEMU MIKOCHENI MAJIRA YA SAA TANO. MISA ITAFANYIKA KATIKA KANISA LA MTAKATIFU MARTHA LILILOPO JIRANI NA NYUMBANI KWA MAREHEMU.
BAADA YA MISA MWILI WA MAREHEMU UTAHAMISHIWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KINONDONI MAJIRA YA SAA NANE KWA AJILI YA HESHIMA ZA MWISHO, AMBAPO BAADA YA HAPO MWILI UTAPELEKWA MAKABURINI KWA MAZISHI.MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

-AMINI



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad