
Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein akihutubia kwenye mkutano wa Kimataifa wa Ukimwi nchini Mexico jana.

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein(wa kwanza kushoto)na Mkewe Mwanamwema Shein (wa pili Kulia)wakimsikiliza Waziri wa Afya wa Mexico Dk Jorge Saavedra akitoa maelezo kuhusu kliniki ya wagonjwa wa Ukimwi wakati Dk Shein alipotembelea kliniki hiyo jana.Wengine ni Waziri wa Afya Zanzibar Suleiman Mugheri na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa David Mwakyusa(Kulia).Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment