HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 22, 2008

Vitoweo

hii kule kwa kina chenti hanchini na kina chigala echiemu bila kumsahau jumapili wikiend(hilo ni jina la kidhungu kwa kule) ni mboga baabu kubwa hii ambayo inaheshima zote hata mgeni akifika mboga atakayoweke ni ya hawa jamaa waliowekwa kwenye hizi fimbo.halafu nasikia ni watamu haooooooo

1 comment:

Post Bottom Ad