
baadhi ya warembo watakao panda jukwaani hapo agosti 2, katika viwanja vya leaders club kuwania taji la Vodacom Miss Tanzania 2008 wakiwa katika picha ya pamoja katika gari ambalo litakabidhiwa kwa mshindi wa kwanza. gari hilo aina ya Suzuki Grand Vitara linathamani ya sh milioni 42.
No comments:
Post a Comment