
Timu ya Soka ya Simba yenye maskani yake Mtaa wa Msimbazi Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo inajitupa tena uwanjani kumenyana na timu ya URA ya kule kwa M7 (Uganda),katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya kombe la Kagame Cup.nami bila hiyana na kwa moyo mkunjufu kabisa naitakia kila la kheri temu hii ya Msimbazi ishinde ili iweze kukutana na watani zao Yanga fainali,ambao wao watakipiga kesho na Tusker ya kule nchini Kenya.
No comments:
Post a Comment