MPIRA UMEMALIZIKA DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA AMBAPO TIMU YA WEKUNDU WA MSIMBAZI (SIMBA S.C) YA MTAA WA MSIMBAZI LEO IMETOKA KICHWA CHINI MARA BAADA YA KUKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA TIMU YA URA YA KULE NCHINI UGANDA,KWA USHINDI HUO WALIOUPATA HAO VIJANA WA M7 NI KWAMBA WAMESHAINGIA FAINALI NA WANA MSUBIRIA MSHINDI ATAKAEPATIKANA KESHO AMBAPO ITAKUWA NI KATI YA VIJANA WA JANGWANI NA TWIGA (YANGA S.C) ITAKAYOMENYANA NA TUSKER YA KULE NCHINI KENYA.INATAKIWA TUIOMBEE DUA TIMU HII ILIYOBAKI ILI KOMBE LIBAKI HAPAHAPA BONGO.KILA LA KHERI YANGA S.C
Poleni sana wanawani yani timu zetu za Bongo zote zinatoka vichwa chini kwa kubamizwa 1-0 si Yanga si Simba, ni sababu gani noma kweli yani.
ReplyDelete