HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 25, 2008

Kila La Kheri Wana Jangwani leo

leo timu ya Yanga inajikita uwanjani katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame cup dhidi Tusker ya kule nchini Kenya.inatakiwa tuitakie kila lililo la kheri timu ya Yanga ili iweze kupata ushindi siku ya leo.na chini mshabiki wa Yanga akiweka sawa bendera yake ya timu hiyo ya wana jangwani tayari kwa kwenda kuipa sapoti timu yake uwanja wa Taifa wa Neshno Stadium.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad