MKUTANO UJAO WA LEON H. SULLIVAN UTAFANYIKA NCHINI RWANDA MIAKA MIWILI IJAYO. RAIS WA NCHI HIYO MH. PAUL KAGAME USIKU KUAMKIA LEO ALIPOKEA RASMI MWENGE WA SULLIVAN TOKA KWA KIKWETE AMBAYE MIAKA MIWILI ILOPITA ALIUPOKEA TOKA KWA RAIS WA NIGERIA WA WAKATI HUO MH. OLESEGUN OBASANJO JIJINI ABUJA.
Thursday, June 5, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana marais wetu wa Africa yetu wakipendeza kwa mambo kama haya.
ReplyDelete