HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 5, 2008

Rwanda Kuandaa Sullivan Ijayo

MKUTANO UJAO WA LEON H. SULLIVAN UTAFANYIKA NCHINI RWANDA MIAKA MIWILI IJAYO. RAIS WA NCHI HIYO MH. PAUL KAGAME USIKU KUAMKIA LEO ALIPOKEA RASMI MWENGE WA SULLIVAN TOKA KWA KIKWETE AMBAYE MIAKA MIWILI ILOPITA ALIUPOKEA TOKA KWA RAIS WA NIGERIA WA WAKATI HUO MH. OLESEGUN OBASANJO JIJINI ABUJA.

1 comment:

  1. Safi sana marais wetu wa Africa yetu wakipendeza kwa mambo kama haya.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad