HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 4, 2008

Obama Mambo Mswano

Watu walipenda kuona Marikani ikiongozwa na rais mwanamke siku moja, lakini watu wamependa zaidi kuona Marikani ikiongozwa na mtu mweusi. Barak Obama amekamata tiketi ya kugombea uraisi wa Marikani na hatimaye kummwaga Hilary Clinton, mgombea aliyegoma kujitoa kwenye mchakato huo hata mara baada ya kuona wazi kuwa hesabu ya kura haitatosha kumpatia tiketi ile.habari hii toka kijiji cha jamii Fotobaraza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad