Mkutano wa Leon Sulivan unaoendelea katika jengo la AICC, Arusha. Kuna wajumbe kutoka kila kona ya dunia, hawa ni baadhi ya wajumbe wakifuatilia mkutano kwenye ukumbi maridhawa uitwao Simba.picha hii ni kwa hisani kubwa ya mkuu Babukadja wa kijiji cha jamii cha FotoBaraza.
No comments:
Post a Comment