amakweli unapoambiwa tembea ujionee,sio kama ujionee majumba wala manini bali kujionea mambo kama haya.sasa hawa watoto wanachokiangalia na kukifurahia ni kitu gani kwa huyu babu?
hehehe michuzi kakangu haya mavazi ndo mavazi ya wanaume hapa scotland , halafu hutakiwi kuvaa kitu ndani..............Mwenzio huwa natinga haya siku moja moja lakini siachi bukta yangu lol....
ReplyDeleteDavid
hihihihih.....we david wewe!!!!!
ReplyDeletekwa hiyo huyu mtoto anaechungulia kaona joka nini??