Mambo yanazidi kuwa mazuri kila siku katika kudukisha lugha yetu hii ya kujivunia ya Kiswahili,kwani kuna mwenzetu mwingine nae kaanzisha kijiji chake cha NIPE TANO,nae si mwingine bali ni Evans Makundi aliyopo huko Downtown Bangalore,India.
anawakaribisha sana"Karibuni kwenye ulimwengu mpya wa nipe tano ambao unajumuisha vijana mbali mbali katika kubadilishana mawazo na kudumisha urafiki"hayo si maneno yangu bali ni kijana mwenzetu Evans.
nyote mnakaribishwa.
Nipe tano katika www.nipetano.ning.com.
No comments:
Post a Comment