
"Hii ni costume niliyovaa siku ya kwanza kwenye set ya
The Surrogates. Nilikuwa mpita njia na nilimpita
Bruce Willis kama mara kumi na tano. Alikuwa anatembea na kushangaa mji wetu wa Dreads. Siku ya pili sikupiga picha ndo ilikuwa scene ya kuchoma moto maiti"hayo ni baadhi ya maneno ayasemay0 Dada Chemi Che Mponda ambaye unaweza kumcheki zaidi kwa kupitia
hapa ili uone ujue mengi ayafanyayo huko Hollywood.
No comments:
Post a Comment