KAMA tunavyojua kuwa mechi mbalimbali za ligi zimerejea kuanzia hapa nyumbani Tanzania mpaka kule Ulaya. Suka jamvi lako la uhakika na upate ushindi mnono leo.
Tukianza na ligi ya Hispania, LALIGA itaendelea kwa mechi moja ambapo Atletico Madrid wao wataanza kampeni yao ya kusaka taji la ligi dhidi ya Malaga ambao ndio wamepanda daraja msimu huu, hivyo hii ni mechi ambayo kila timu inataka kuanza ligi kwa kukusanya pointi tatu.
Atletico chini ya Diego Simeone msimu huu wanataka kuanza vingine kabisa baada ya msimu uliopita kumaliza bila kombe lolote. Walimaliza nafasi ya 4 ambayo inawafanya wao kucheza UEFA msimu huu, lakini lengo la ni ubingwa wa ligi.
Timu hiyo pia kwenye dirisha hili kubwa la usajili imewaongeza wachezaji akiwemo Romero aliyekuwa Spurs na wengine lengo likiwa ni kuimarisha kikosi, lakini pia wameondokewa na aliyekuwa mshambuliaji wa Griezmann. Uwepo wa wachezaji kama Lookman Ademola, Solorth na wengine kunawafanya wawe na nafasi kubwa ya kushinda mechi hii.
Mkwanja upo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Malaga ni timu ambayo ndio kwanza imepanda daraja ligi kuu hivyo uzoefu wa ligi bado hivyo Atletico wanaweza kuwa na faida zaidi kwani pia wanacheza mbele ya mashabiki zao. Timu hiyo wanataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi 3 za mwisho walizokutana. Odds kubwa zipo mechi hii. Beti hapa.
Pia ligi kuu ya Tanzania yaani NBC PREMIER LEAGUE nayo itaendelea, Pamba Jiji watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Simba ambao wametoka kupata ushindi kwenye mechi yao ya kwanza ya ligi, huku wenyeji wao wakiambulia sare.
Hii ni mechi ambayo kila timu itataka kuonesha ubabe mbele ya mwezake, Pamba anahitaji kupata ushindi wa kwanza, huku Mnyama yeye akizihitaji pointi 3 za mchezo huu ili kujiweka vyema kwenye mbio za ubingwa. Je nani unampa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi?. Jisajili hapa.
Takwimu zinaonesha kuwa mechi 4 za mwisho kukutana timu hizi mbili, Vijana wa Steve Barker walishinda mechi 4 na kutoa sare mchezo mmoja, hivyo Pamba toka apande ligi kuu hajawahi kupata matokeo ya ushindi mbele ya Mnyama.
Simba huu ni msimu ambao wanautaka kwa hali na mali baada ya kukosa ubingwa kwa takribani misimu mitano mfululizo huku wakiwa wamewekeza kwenye usajili mkubwa lengo likiwa ni kufanya vyema kwenye ligi na mashindano mengine. Je ujio wa Chilambo, Doumbia, Jabaar na wengine wengi kutawapa makombe?. Suka jamvi hapa.


No comments:
Post a Comment