Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary akipata maelezo katika Banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary akikabidhiwa mfuko uliowekewa taarifa mbalimbali za Taasisi katika Banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.




No comments:
Post a Comment