HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 3, 2026

Waziri wa Fedha atembelea NBS

 

Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary akipata maelezo kutoka kwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Amina Msengwa wakato alipotembelea katika Banda la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary akipata maelezo wakati Maktaba mtandao YA NBS jinsi inavyofanya kazi ambapo wadau mbalimbali wanaweza kupata machapisho ya Kitakwimu alipotembelea katika Banda la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwenye maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary akizungumza katika Banda la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omary akipata maelezo kutoka kwa Kamishina wa Sensa ,Spika Mstaafu Anna Makinda wakati Waziri huyo alipotembelea katika Banda la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad