HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 2, 2026

NSSF YAPOKEA TUZO YA SHUKRANI SHEREHE ZA MEI MOSI 2026

  Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Bw. Masha Mshomba, akipokea tuzo kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuzo hiyo imetolewa kwa NSSF kwa kuwa miongoni mwa wadhamini wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kitaifa mkoani Njombe.


Aidha, Dkt. Samia alisema: “Serikali imezindua skimu ya hifadhi ya jamii ili kuhakikisha wananchi waliojiajiri wanajumuishwa katika mfumo wa hifadhi ya jamii.”

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad