HUKU michuano ya Europa League ikielekea kupamba moto, leo hii wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa unaweza kutengeneza pesa na michuano hii. Suka jamvi lako la ushindi hapa.
Mapema kabisa tutashuhudia mechi ya moto kule SC Braga dhidi ya Real Betis ya kule Hispania, ambao msimu huu umekuwa mzuri kwao kwenye ligi kwani mpaka sasa wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi.
Wakati Braga wao kule Ureno pia wapo nafasi ya 4, kwahiyo ni mechi ambayo inawakutanisha wababe yaani wote wapo nafasi za juu kwenye ligi zao. Je nani unampa nafasi ya kushinda mtanange wa leo kule Meridianbet?. Jisajili hapa.
Pesa kubwa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kutoka kule Italia, Bologna atamleta kwake Aston Villa kutoka kule Uingereza huku mechi hii ikionekana kuwa ya kibabe kabisa kwani timu hizi zote zinahitaji ushindi siku ya leo. Mechi hii itapigwa katika dimba la Renato huku Meridianbet ikikwambia kuwa ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii leo.
Bologna kule Italia anashikilia nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi huku kushinda leo huenda ikamfanya asogee mbele kwenye michuano hii na huenda ikamuwezesha baadae kupata Kombe lao.
Kwa upande wa Aston Villa chini ya Unai Emery wapo nafasi ya 4 huku zipo timu zingine pia zinawania nafasi hiyo hivyo huenda anaweza akacheza michuano ya UEFA kupitia Kombe hili la Europa , kwahiyo ushindi ni muhimu sana kwao. Na Unai sio mgeni kwa michuano hii kwani tuliona alichofanya na Sevilla. Je nani kushinda leo? Tandika jamvi lako hapa.
Pia mechi nyingine ya kubashiri ni hii ya FC Porto dhidi ya Nottingham Forest ambayo pia ni ya Uingereza. Yaani safari hii ligi kuu ya Uingereza imetoa timu mbili ambazo zimetinga hatua hii.
Porto kule Ureno inaendelea kufanya vyema kwani mpaka sasa wao ndio vinara wa ligi, huku kwa upande wa Forest wao wamekuwa na misuko suko kwenye ligi baada ya kuwa na matokeo ambayo hayaridhishi yaliyopelekea kufukuzwa kwa baadhi ya makocha wao.
Hii ni michuano ya Ulaya kila timu inahitaji kupata ushindi na haijalishi na matokeo ya ligi ndio maana kuna timu nyingi hutoa matokeo ya kushangaza lakini kwenye ligi unakuta wana hali mbaya. Mara ya mwisho kukutana vijana kutoka Ureno walipoteza mechi hii. Na leo wanahitaji kulipa kisasi wakiwa nyumbani. Je vipi wewe nafasi ya uhsindi leo unampa nani?. Beti hapa.
Kwa Celta Vigo yeye atasafiri kwenda kupepetana dhidi ya Freiburg ya Ujerumani huku nafasi ya kushinda kwenye mechi hii ya mkondo wa kwanza pale Meridianbet anapewa mwenyeji kutokana na faida ya uwepo wa nyumbani.
Takwimu zinaonesha kuwa hawa wawili hawajawahi kukutana kwenye mechi yoyote, hivyo leo hii ndio mechi yao ya kwanza. Ushindi ni muhimu kwa wote wawili na magoli mengi ndio yatakupa nafasi ya kusonga mbele kwani mechi hizi hupigwa nyumbani na ugenini.
Meridianbet inakupa mchongo mkali kwenye hii mechi kwani machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana hapa. Weka dau lako lolote ulitakalo na ubashiri na mabingwa siku ya leo.


No comments:
Post a Comment