Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dkt. Jabiri K. Bakari amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Bw. Salim R. Msangi katika Makao Makuu ya TCAA, Banana, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Makabidhiano hayo yamefanyika Aprili 27, 2026 na kuhudhuriwa na Menejimenti ya TCAA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dkt. Jabiri K. Bakari (kulia) akikabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Bw. Salim R. Msangi (kushoto) katika Makao Makuu ya TCAA, Banana, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dkt. Jabiri K. Bakari (kulia) pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Bw. Salim R. Msangi (kushoto) wakisaini makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika katika Makao Makuu ya TCAA, Banana, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dkt. Jabiri K. Bakari (kulia) akifanya mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Bw. Salim R. Msangi (kushoto) katika Makao Makuu ya TCAA, Banana, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dkt. Jabiri K. Bakari akizungumza na Menejimenti ya TCAA mara baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Bw. Salim R. Msangi katika Makao Makuu ya TCAA, Banana, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dkt. Jabiri K. Bakari pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Bw. Salim R. Msangi wakiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya TCAA mara baada ya kumalizika kwa zoezi la makabadhiano ya ofisi yaliyofanyika katika Makao Makuu ya TCAA, Banana, Ukonga jijini Dar es Salaam.


.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)

No comments:
Post a Comment