HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 14, 2026

TANZANIA YAPAA KIMATAIFA MIONGONI MWA NCHI ZINAZOFANYA VIZURI KATIKA SEKTA YA UTALII

 





UN Tourism imeitaja Tanzania kushika nafasi ya 11 duniani na nafasi ya 6 kwa Afrika na Mashariki ya Kati na kuwa miongoni mwa nchi 20 katika nchi zilizofanya vizuri zaidi katika sekta ya Utalii duniani. 

Ripoti ya Januari 2026 iliyotolewa na UN Tourism  imeangalia ongezeko la watalii wa Kimataifa kati ya mwaka 2019 na 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad