
SIKU ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet imefika leo. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo na uingie kwenye wale washindi wakubwa ambao hutangazwa hapa kila wiki.
Copa del Rey kule Hispania kutakuwa na mechi mbili kali kabisa ambapo Deportivo Alaves atakipiga dhidi ya Real Sociedad ambapo kwenye ligi tofauti yako ni pointi 2 pekee na mwenyeji alishinda mechi ya kwanza walipokutana. Sasa kwenye Kombe hili mgeni anataka kulipa kisasi. ODDS KUBWA zipo kwenye mtanange huu ndani ya Meridianbet. Suka jamvi hapa.
Nao Valencia watakuwa uso kwa uso dhidi ya Athletic Bilbao ambao wapo nafasi ya 12 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 14. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kufuzu kwenye hatua ya Nusu Fainali leo. Meridianbet inakwambia kuwa hii ndio nafasi ya wewe kuondoka na pesa leo. Bashiri hapa.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pale Uingereza, kutakuwa na mechi ya kukata na shoka ya Carabao Cup mzunguko wa pili kati ya Manchester City dhidi ya Newcastle United ambapo kwenye mechi ya kwanza kukutana vijana wa Eddie Howe walipasuka nyumbani kwao. Leo hii ni nafsi yao kulipa kisasi wakiwa ugenini. Je watweza mbele ya vijana wa Pep Guardiola?. Beti hapa.
Coppa Italia pia kuna mechi ya kubeti, Inter Milan atamenyana dhidi ya Torino ambao hawapewi nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi siku ya leo pale Meridianbet. Vijana wa Chivu wanahitaji ushindi ili wasonge mbele kwenye hatua ya Nusu Fainali kwenye michuano hii. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.
Vilevile DFB CUP kule Ujerumani kuna mechi moja ya Robo Fainali kati ya Holstein Kiel dhidi ya VFB Stuttgart ambao wana mwendelezo mzuri wa ligi hadi sasa. Mechi ya mwisho kukutana hawa wawili, walitoa sare. Je nani kuondoka kifua mbele siku ya leo?. Beti hapa.

No comments:
Post a Comment